jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,871
- 10,193
Ndo hivyo mkuu kuhusu kutrack kuna kitengo pale osterbay polisi ila gharama lazima zikutoke kuzidi hata hiyo thamani ya simu ingawa ukimkamata mwenye nayo zigo lote unamshushia yeyeDah nimejifunza mzee
Ndo hivyo mkuu kuhusu kutrack kuna kitengo pale osterbay polisi ila gharama lazima zikutoke kuzidi hata hiyo thamani ya simu ingawa ukimkamata mwenye nayo zigo lote unamshushia yeye
Kingsmann
Pole sana mkuu
mpka jana nikiiserach kupitia samsung account yngu inasoma kwenye ile sm sema haijawashwa network
Habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada,
Miezi miwili nyuma niliingia mtandaoni kupatana na kukutana na samsung m31,ambayo niliipenda na kumtafuta mhusika maana sikuwa na hela yote 500k,maana ilikuwa kama mpya.
Nikamtafuta mhusika na tukakutana kariakoo maana alinambia anaishia mbagala,tukiwa kwenye gari tukakubaliana nimpe 150k na samsung s7edge yangu,jamaa alikuwa ana age around 45years,akawa kama haniamini so nikawasha gari mpka nyumbani akapaona akaridhika tufanye exchange akaondoka.
Jana nikiwa kwenye mihangaiko yangu napigiwa simu na watu wa nyumbani kwenda difenda hyo ya polisi nikachukuliwa mpka polisi ubungo,
Kosa ni simu ya wizi mwenyewe akaja wakati huo nimeshalazwa ndani inshort simu ya watu nilirudisha na hela nyingine zikanitola kiufupi total pamoja na simu imenitoka around 900k.
Msaada ni jinsi ya kumtafuta mwizi wangu maana nilimpa simu yangu,ambayo mpka jana nikiiserach kupitia samsung account yngu inasoma kwenye ile sm sema haijawashwa network
Je ni app gani nzuri au site unayoweza kuitumia ikanisaidia kuitrack kupitia imei namba?
Nimetoa kisa kilichonikuta ili iwe funzo kwa wenzangu kuwa watu sku hizi wanakamatwa sana kwa sababu ya simu za mitandaoni nami jana nikiwa mmoja wapo ni bora ujichange ukanunue tu dukani
Asanteni
M16? Ilinde Usalama Wa Raia?!MkuuKuna system flani police tz wameuziwa Kam 16m ndo huwa wanatumia ku track imei za simu
Hata Kama network imezimwa simu inaweza patkana
Pole sana mkuu,mimi nimeshanunua mbili ila zina muda na sijapata shida yotote,ni kweli unakuwa una bahatisha,na kubambikiwa ya wizi ni rahisi sana...Habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada,
Miezi miwili nyuma niliingia mtandaoni kupatana na kukutana na samsung m31,ambayo niliipenda na kumtafuta mhusika maana sikuwa na hela yote 500k,maana ilikuwa kama mpya.
Nikamtafuta mhusika na tukakutana kariakoo maana alinambia anaishia mbagala,tukiwa kwenye gari tukakubaliana nimpe 150k na samsung s7edge yangu,jamaa alikuwa ana age around 45years,akawa kama haniamini so nikawasha gari mpka nyumbani akapaona akaridhika tufanye exchange akaondoka.
Jana nikiwa kwenye mihangaiko yangu napigiwa simu na watu wa nyumbani kwenda difenda hyo ya polisi nikachukuliwa mpka polisi ubungo,
Kosa ni simu ya wizi mwenyewe akaja wakati huo nimeshalazwa ndani inshort simu ya watu nilirudisha na hela nyingine zikanitola kiufupi total pamoja na simu imenitoka around 900k.
Msaada ni jinsi ya kumtafuta mwizi wangu maana nilimpa simu yangu,ambayo mpka jana nikiiserach kupitia samsung account yngu inasoma kwenye ile sm sema haijawashwa network
Je ni app gani nzuri au site unayoweza kuitumia ikanisaidia kuitrack kupitia imei namba?
Nimetoa kisa kilichonikuta ili iwe funzo kwa wenzangu kuwa watu sku hizi wanakamatwa sana kwa sababu ya simu za mitandaoni nami jana nikiwa mmoja wapo ni bora ujichange ukanunue tu dukani
Asanteni
Pole sana mkuu...Habari,

Mfate huyohuyo afande akuelekeze muandalie dinner/lunch ,bia kidogo atasema tu kilakituNmekuja kuomba hku msaada sababu askar aliyekuja kunikamata alikuwa anatumia app kwenye smu ambayo alikuwa anaitumia kunitrack kuptia imei
Zungumza na huyo afande aliyekukamataHabari,