kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,059
- 3,646
wakuu kwema,
Kuna dada hapa Ana oppo R15 ukiiwasha inakuletea uingize password,Sasa yy alisahau
nimejaribu kuformat inadai niingize password ,najua nitapata majibu sahihi hapa kama inawezekana au la.
Karibuni