Kwanza inabidi uisajiri na kulipia TCRA,vinginevyo utakamatwa. Pili unahitaji kuwa na email,itakayokuwezesha kufungua hiyo Channel.Sajiri kwanza na TCRA kisha nicheck inbox ntakusaidia kufunguaWakuu mwenye kujua kutengeneza YouTube channel naomba anisaidie kwa maelezo ya kina jinsi ya kutengeneza maana Mimi nimejaribu kila njia nimekwama...
Mkuu naskia ni vizuri kutengeneza ndipo anafatilia Usajili kamiliKwanza inabidi uisajiri na kulipia TCRA,vinginevyo utakamatwa.
Pili unahitaji kuwa na email,itakayokuwezesha kufungua hiyo Channel.Sajiri kwanza na TCRA kisha nicheck inbox ntakusaidia kufungua
Sasa ww vunja sheria kwanza halafu nenda kajisajili utakutana na fine yako au miaka 2 jela. Ulishaona mtu anaiba then anajipeleka polisiMkuu naskia Ni vizuri kutengeneza ndipo anafatilia Usajili kamili
Mkuu hivi zinazosajiliwa na kulipiwa siyo zile za kibiashara tu??Kwanza inabidi uisajiri na kulipia TCRA,vinginevyo utakamatwa.
Pili unahitaji kuwa na email,itakayokuwezesha kufungua hiyo Channel.Sajiri kwanza na TCRA kisha nicheck inbox ntakusaidia kufungua
Zote zinalipiwa zinatofautiana Lesseni tuMkuu hivi zinazosajiliwa na kulipiwa siyo zile za kibiashara tu??
zote zinalipiwaMkuu hivi zinazosajiliwa na kulipiwa siyo zile za kibiashara tu??
Angalia hii orodha, Usisikilize maneno ya mtaani Sheria unaijua au uijui itakula kwako.Sajiri kwanza ndo uendelee na mengineMkuu naskia ni vizuri kutengeneza ndipo anafatilia Usajili kamili
Hivi hii ni signature yako mkuu au..., maana kila ninapoingia nakutana nayo au jamiiforums imepigwa na kirusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Flash(SanDisk) yangu imeingia maji nifanye nini iweze kufanya kazi tena maana haisomi kwny device yangu.