Hii kitu inawezekana tena ni very simple maana mimi nimeifanya na inapiga kazi vizuri tu tena bila hata internet Access, unaweza kutuma JINA LAKO kwenda kwenye namba yangu then System inakujibu kuwa umesajiriwa,then ukitaka Service yoyote kwa kutuma Code inakupa majibu as per request mfano neno MICHEZO inakupa details zote kuhusu michezo.
Huhitaji hata shilingi moja kufanya hiyo kitu zaidi ya kununua SMS kutoka kwa Service provider kama vodacom.
Kuhusu language mimi nilitumia PHP na inaleta raha sana,but unaweza tumia Language yoyote.
KAMA MTAONA INAPENDEZA JUST PM ME 4MORE DETAILS