hiyo itakuwa ni website chief ipangilie idea yako ikae vizuri afu lete tufanyekazi chap chap...ni PM kama vipWadau naomba kusaidiwa namna navyoweza kufanya ujasiliamali kwa kutengeneza jukwaa la taaluma yangu ambalo ntakuwa napost material, madesa yangu na tafiti mbalimbali pamoja na huduma ya tutorial kwa maswali mbambali hafu wasomaji wangu wakiingia wanachangia kiasi kidogo. Nashindwa kujua kama hapo nafungua blog, App au website, lengo nikufanya ujasiliamali naomba msaada kwa wenye ufaham please
Jipatie Website/ Tovuti kwa ajiri ya biashara yako/taaasisi (TZS 180,000/=)Wadau naomba kusaidiwa namna navyoweza kufanya ujasiliamali kwa kutengeneza jukwaa la taaluma yangu ambalo ntakuwa napost material, madesa yangu na tafiti mbalimbali pamoja na huduma ya tutorial kwa maswali mbambali hafu wasomaji wangu wakiingia wanachangia kiasi kidogo. Nashindwa kujua kama hapo nafungua blog, App au website, lengo nikufanya ujasiliamali naomba msaada kwa wenye ufaham pleas
Ushauri mzuri lakini capital hiyo ya 700,000 inawezekana kulipa na hata gharama za kulipa atakaye nitengeneza website yenye domain yangu nawaeza kuimudu kama haitakuwa juu sana, je hizi website unazilipia kila mwezi? Au ukishatengeneza basiSwali linakuja, je unacapital ya kuanzia au, maanake kufungua blog au website ambayo inadomain yako. inabidi uwe na si chini ya 70000 tsh.( hizi ni estimate zangu, sijawai fungua au kuhost a website kwa any tz company.. so the figure might be wrong). Ila ninacho jua domain name kwa tz ni tsh 25,000/=, na prices za kuhost zinavary, but am guessing not less than 50,000/= kama utataka host yenye angalau a good amount of space kwaajili ya your website.
Na kama utataka kutengenezza app, itakuwa expensive zaidi. Hii ni kama utataka app iliyobora na yenye user experience nzuri. Usitegemee mtu akutengezee app for cheap bila kulipua. That is very rare.
Ushauri wangu, anzisha a whatsapp group kwanza. Hii ndo the cheapest way yakuanzia, since wewe haitakucost chochote. Pia itakusaidia kujua kuhusu demand ya hicho kitu unachotaka kufanya, kuliko uinvest kwenye kuanzisha blog/website au kutengeneza app, halafu ukute haitembelewe na watu wengi. Pia mpaka mtu ajenge tabia ya kutembelea a certain blog angalau kila siku, huwa inachukua muda kidogo. Ila ukianzisha a whatsapp group, ni rahisi kwa watu wengine kujiunga na wewe kucontrol the group. Baada ya hapo ukishapata watu wengi zaidi, whatsapp inalimiti ya 256 people per group, unaweza ukahamia telegram, Telegram ina a higher limit ya group members. Zote hizi won't cost you a thing. Njia hii pia itasaidia kutengeneza a strong relationship na wasomaji wako.
Ukishapata watu angalau 200-300, hapo sasa utakuwa na a good base/foundation ya kuwahamisha hao watu to whatever app au site utakayotengeneza. A blog itakuwa ndo the most logical solution.
Hii ni an easier and cost effective way, kuliko kuanzisha blog from scratch na kuanza kuconvince watu wajoin.
Poa mkuu kwanza mshajua ni website, naomba ufaham zaidi, baada ya gharama ya kutengeneza website, kuna gharama nyingine pia? Je kwa uzoefu mmiliki anapata hela kwa kila anayeingia au inakuwajehiyo itakuwa ni website chief ipangilie idea yako ikae vizuri afu lete tufanyekazi chap chap...ni PM kama vip
Njoo PM chief tuekane sawaPoa mkuu kwanza mshajua ni website, naomba ufaham zaidi, baada ya gharama ya kutengeneza website, kuna gharama nyingine pia? Je kwa uzoefu mmiliki anapata hela kwa kila anayeingia au inakuwaje
Ushauri mzuri lakini capital hiyo ya 700,000 inawezekana kulipa na hata gharama za kulipa atakaye nitengeneza website yenye domain yangu nawaeza kuimudu kama haitakuwa juu sana, je hizi website unazilipia kila mwezi? Au ukishatengeneza basi
Weka mambo hadharani, unaweza kupata wadau wengi. Achana na PMNjoo PM chief tuekane sawa
Mkuu, marekebisho kidogo kwenye kunukuu. Kwenye capital namaanisha kuanzia 70,000/=. ila sidhani kama inaweza kuzidi more than 150,000/=, ingawa kuna host wengine wanacharge much higher. Hapa namaanisha hosting na kununua domain.
Na my suggestion ya kuhusu kuanzia na a whatsapp group kwanza, my main point ni kuhusu proof of concept. Yani you starrt with something small kwanza, halafu ukiona inagain traction ndo una expand to kutengeza website and so on.
Ila kama unataka kuanza na route ya kutengeneza website. Here are the estimates.
Kununua domain, inayoishia na .com hii huwa inacost dollar 10 na unalipia kwa mwaka. A good place ya kununua hii ni this website: Domain Names - Cheap Domain Names | Namecheap.Com
Ila kama utataka kununua a domain name inayoishia na .tz e.g .co.tz, itabidi utumie kampuni ya kibongo kuregister. Hii inacost tsh 25,000/= na unakuwa unalipia kwa mwaka pia. A good place yakuanzia ni hapa: tzNIC | Tanzania Network Information Centre - .tz registry | .tz domain names , hii ni a partial government agency inayohusika na registration ya .tz domain, You don't register your domain name with them, ila hawa ndo wanatoa accreditaion kwa makampuni ya kibongo ili waweze kuregister .tz domain. Hii hapa ni link ya their accredited registers: tzNIC | Tanzania Network Information Centre - List of registrars
Sehemu unayonunua a domain , sio lazima uhost website yako pia hapo hapo. This means unaweza ukanunua domain name yako bongo halafu website ukaihost nje ya nchi au ukanunua domain nje ya nchi halafu website ukaihost bongo. Au unaweza ukanunua domain kwenye kampuni moja na kuhost website kwenye kampuni nyingine.
Kuhusu kulipia a webhost, hapa ndo inategemea, kuna wengine unaweza ukalipa per month, per 3 months, per 6 months na per year. Ila the most popular option huwa ni kulipia per year. Na good webhosts wa nje unaoweza ukawatumia ni, Web Hosting Crafted For Top Website Performance & Speed na Website Hosting | Shared Web Hosting With cPanel - Bluehost . Hizo link zinaenda straight to the pricing page, so unaweza ukafanya comparison.
Ukitaka uhost website yako bongo, hapo sina experience kuhusu hicho kitu. ila unaweza ukauliza kule jukwaa la tech kuwa yupi ni webhost mzuri kwa bongo. Wanaweza wakakupa mwangaza.
Tuje sasa kwenye kumake your website look good. Kuna 3 options, unaweza ukatafuta free themes kisha ukainstall kwenye blog yako, au ukanunua themes mwenyewe, huwa zina cost kuanzia dollar 39 upto $199 , kulingana na theme utakayoitaka. The third option ni kumtafuta mtu akadesign your website. Hii huwa ndo the most expensive option, na inacost si chini ya tsh 300,000/= kwa designers wa bongo. Sema ishu inakuja kwenye kumpata web designer mzuri.
Shaweka mambo hadharani mpaka sasa nshajua kwa forum ya kielim natakiwa kutengeneza website, nimeshapewa gharama za domain na gharama za kudesign website, nina tatizo na moja mpka sasa kujua ntakavofaidika na charge hizo zitafanyikajeWeka mambo hadharani, unaweza kupata wadau wengi. Achana na PM
unaweza lipwa kama makala/jalida/vitabu vyako utaweka payment gateway , au unaweza lipwa kama utaomba matangazo kwa eitha Google ads au propellerJe google ndio wataonilipa au documents zitakuwa protected mpaka mtu alipe?
Najua watanzania wengi hawalipagi hizo za kuprotect nataka ziwe wazi ila nifaidike kwa namna wanavyoingia kwenye page yangu
Jamani msaada wakuu
Naomba unitafute whatsapp nikueleweshe na tufanye kazi kama utakuwa tayari. 0652247221Nisaidie modal ya kulipwa mkuu Luse