Mabibi na Mabwana salaam. Naomba mnisaidie jinsi ya kutengeneza division na points zake kwenye matokeo ya wanafunzi kidato cha nne, kwenye EXCEL score sheet. Tafadhali ni urgent kwangu maana nimekwama.
Mabibi na Mabwana salaam. Naomba mnisaidie jinsi ya kutengeneza division na points zake kwenye matokeo ya wanafunzi kidato cha nne, kwenye EXCEL score sheet. Tafadhali n urgent kwangu maana nimekeama.