Liborio Member Joined Feb 7, 2017 Posts 69 Reaction score 37 Jun 11, 2019 #1 Ndugu zangu wana Jf mwenye uwezo wa kuswap number ya mtu msaada plz( Kiswahili fasaa anayeweza kuchukua mawasiliank ya mtu msaada wako plz)
Ndugu zangu wana Jf mwenye uwezo wa kuswap number ya mtu msaada plz( Kiswahili fasaa anayeweza kuchukua mawasiliank ya mtu msaada wako plz)
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,694 Jun 11, 2019 #2 Ni kosa la jinai,maana itakusababishia chuki,na mara nyingine hata kifo...
Liborio Member Joined Feb 7, 2017 Posts 69 Reaction score 37 Jun 11, 2019 Thread starter #3 Hapana najitambua na ndio maana nikaomba msaada LUBEDE said: Ni kosa la jinai,maana itakusababishia chuki,na mara nyingine hata kifo... Click to expand...
Hapana najitambua na ndio maana nikaomba msaada LUBEDE said: Ni kosa la jinai,maana itakusababishia chuki,na mara nyingine hata kifo... Click to expand...
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,573 Reaction score 3,255 Jun 11, 2019 #4 acha huo mchezo...utakufa bure kwa kihoro
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,694 Jun 11, 2019 #5 Liborio said: Hapana najitambua na ndio maana nikaomba msaada Click to expand... Ukijitambua hauwezi kuomba msaada wa ukiombacho,kwa tafsiri fupi ni kwamba haujitambui..
Liborio said: Hapana najitambua na ndio maana nikaomba msaada Click to expand... Ukijitambua hauwezi kuomba msaada wa ukiombacho,kwa tafsiri fupi ni kwamba haujitambui..
Liborio Member Joined Feb 7, 2017 Posts 69 Reaction score 37 Jun 11, 2019 Thread starter #6 Najitambua Jamani na ndio maana nimeomba msaada wenu B'REAL said: acha huo mchezo...utakufa bure kwa kihoro Click to expand...
Najitambua Jamani na ndio maana nimeomba msaada wenu B'REAL said: acha huo mchezo...utakufa bure kwa kihoro Click to expand...
mpimamstaafu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 4,445 Reaction score 4,711 Jun 11, 2019 #7 Liborio kuwa msikivu ukiambiwa jambo kubali wanaokuonya wanakupenda.
Dannis JF-Expert Member Joined Jan 21, 2016 Posts 1,603 Reaction score 1,749 Jun 11, 2019 #8 ninaweza kufanya hivyo ila siwezi kukusaidia maana mwisho wa siku utapata magonywa yasio ya lazima na utakufa bure, pili ni kosa kisheria faini ni 5M au jela miaka 5 au vyote kwa pamoja.. TAFADHARI ACHA narudia tena futa hayo mawazo
ninaweza kufanya hivyo ila siwezi kukusaidia maana mwisho wa siku utapata magonywa yasio ya lazima na utakufa bure, pili ni kosa kisheria faini ni 5M au jela miaka 5 au vyote kwa pamoja.. TAFADHARI ACHA narudia tena futa hayo mawazo
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,332 Reaction score 7,177 Jun 11, 2019 #9 Liborio said: Ndugu zangu wana Jf mwenye uwezo wa kuswap number ya mtu msaada plz( Kiswahili fasaa anayeweza kuchukua mawasiliank ya mtu msaada wako plz) Click to expand... huwenda umeshindwa kujieleza kama unahitaji udukuzi pm
Liborio said: Ndugu zangu wana Jf mwenye uwezo wa kuswap number ya mtu msaada plz( Kiswahili fasaa anayeweza kuchukua mawasiliank ya mtu msaada wako plz) Click to expand... huwenda umeshindwa kujieleza kama unahitaji udukuzi pm
KOLOKOLONI JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 2,476 Reaction score 2,372 Jun 11, 2019 #10 Liborio said: Ndugu zangu wana Jf mwenye uwezo wa kuswap number ya mtu msaada plz( Kiswahili fasaa anayeweza kuchukua mawasiliank ya mtu msaada wako plz) Click to expand... yaani hapo sawa na kuomba SMG ukafanye ujambazi
Liborio said: Ndugu zangu wana Jf mwenye uwezo wa kuswap number ya mtu msaada plz( Kiswahili fasaa anayeweza kuchukua mawasiliank ya mtu msaada wako plz) Click to expand... yaani hapo sawa na kuomba SMG ukafanye ujambazi