Naombeni msaada wa jinsi ya kuset 3g kwa mtandao wa airtel, nimeperuzi katika internet ila sijafanikiwa kupata jibu sahihi
Z4 ni simu moja adimu sana haikuwa released dunia nzima. Umeshaicheki kama sio mchina?
unacheki vipi kujua kama ni feki
mediatec MT 6572 1.32 ghz
pole kaka simu ni ya kichina,
sasa hv tz kuna clone za Xperia nyingi sana
Kuna jamaa zangu sio wazoefu wa simu, walinunua z4 mchina... Zina 2g na 4g tu.. Simu zinakera ni hamna.... Unachofaidi ni screen kubwa na umbo la simu!Z4 ni simu moja adimu sana haikuwa released dunia nzima. Umeshaicheki kama sio mchina?
icngekuwa ya kichina ingesomaje?
Kuna jamaa zangu sio wazoefu wa simu, walinunua z4 mchina... Zina 2g na 4g tu.. Simu zinakera ni hamna.... Unachofaidi ni screen kubwa na umbo la simu!
Sasa hivi kuna Sony nyingi fake zipo sokoni, na ni fake haswa...!
nilikuwa maeneo fulani kkoo nikawaskia wanaambiana mzigo umeingia na kibaya zaidi wanazinunua around 90,000 tu.
Chief-Mkwawa nina budget ya around 150K ninahitaji simu...ni simu gani nzuri unapendekeza kwa hiyo budget?