Ngoja ni jaribu nitaleta mrejeshooTafuta simu ambayo ipo logged in tayari nenda kwenye account halafu add account (ingiza hiyo namba yako) halafu remove account nyengine.
Au njia rahisi nenda Android>Data>Whatsapp>database the futa zile backup folder zote then futa hiyo WhatsApp pakua nyengine
Nimejaribu step 2 ila bado inaleta message ile ileTafuta simu ambayo ipo logged in tayari nenda kwenye account halafu add account (ingiza hiyo namba yako) halafu remove account nyengine.
Au njia rahisi nenda Android>Data>Whatsapp>database the futa zile backup folder zote then futa hiyo WhatsApp pakua nyengine
Mkuu futa kabisa wasap ndo ufanye Ivo halafu rudia hio process....Nimejaribu step 2 ila bado inaleta message ile ile
Daah mkuu hii itakuwa ban kwenye account kabisa sio hizo cache nimejaribu mno. Mpka nika download recent app ila wapi.Mkuu futa kabisa wasap ndo ufanye Ivo halafu rudia hio process....
Usipofanya Ivo ukirun WhatsApp inaload zilezile cache za mwanzo
Niliifungiwa miaka kadhaa iliyopota nikawaandikia kuwa nilikua hacked account yangu wakaniludishia...Nimefanya hivyo ila sio kwamba nilikua hacked nikipigwa ban kwasababu ya kutumia unofficial apps
Wewe unachelewa kuchanganya hivi ukipigwa ban hapa if huwa unakata rufaa au unasubiri ban iishe?Niliifungiwa miaka kadhaa iliyopota nikawaandikia kuwa nilikua hacked account yangu wakaniludishia...
Nilikua natumia FM Whatsapp
Nimemwambia hili mapema tu sijui anakwama wapFuta hiyo uliyonayo download nyingine halafu tumia namba nyingine ikishakuwa logid in, change number itakuwa sawa
Hakika maana hakuna kinacho fanya kazi hapoKilichopigwa ban ni namba yako,hakuna jinsi ila ni lazima wao ndio wakutolee hiyo ban,
Wasiliana nao kisha wataifungua na kukufuatilia kama unaitumia kwenye App yao original,
Sometimes huchukua muda mpaka wakufungulie.
Shida inakuwa simu mkuu ina haribu mpaka line. So Change your phone and line hakikisha simu utakayo nunua iwe kuanzia version 6.9.Huawei nova