Habari wana jf naoba mnisaidie mwenye kujua nina cd zangu naipenda sana ila zinascrach sana naomba mwenyekujua jinsi ya kuzihuisha ili zirudi kama zamani zioneshe viuri ama nifanyeje.
First, apply toothpaste to the scratched area and massage it gently into the surface using a rag. Then, remove the paste and take a piece of peeled banana and rub it in circular motions into the DVD. Next, take the peel and do the same thing. After, clean the disc using a cloth and spray window cleaner onto it.
Habari wana jf naoba mnisaidie mwenye kujua nina cd zangu naipenda sana ila zinascrach sana naomba mwenyekujua jinsi ya kuzihuisha ili zirudi kama zamani zioneshe viuri ama nifanyeje.
Mkuu kwa kiji nchi kama cha tanzania kupata wataalam wa kukusaidia ama kukurekebishia ni ngumu mfano michubuko ya kwenye cd ni ulemavu tayari kweli kwa wenzetu wana mitambo ya kusoma cd kama hizo ila hata hivyo cd zao ni za viwango sio zetu za kiwango hafifu
Angalizo kuwa makini na watu wa humu jf waweza kukushauri hata wakwambie uchukue maji ya ukweni kwa mkeo usafishie cd yako ili ionyesheee