Msaada wa kurejesha namba za simu

Msaada wa kurejesha namba za simu

ibonyjr

Member
Joined
Jun 10, 2016
Posts
45
Reaction score
54
habari za muda huu wana jamvi hope mko poa, kama nlvotangulia kusema hapo juu naomba mnisaidie kupata ile link ya kurejesha contacts zilzopotea maana nimejitahidi sana kuusaka ule uzi humu lakini sikufanikiwa nikaona itakuwa vyema kama nitalisogeza kwenu
 
Andika Unachotaka Halafu Google Search Mwisho, Mfano
Ally Juma Shamhuna. jamiiforums.com
Mbilikimo.jamiiforums.com

Utauona Chap
 
Ngoja nikutag kwenye thread uta log in kurudisha namba zako
 
Back
Top Bottom