ngome1838
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 2,027
- 2,498
Yanauzwa bei ganiUtakuwa ulipaka jingi sana na hiyo ganzi inaweza haribu nerves za kwenye kichwa hayo makitu ni hatari sana mimi imenitesa sana hiyo najutaga kutumia
Yanauzwa bei ganiUtakuwa ulipaka jingi sana na hiyo ganzi inaweza haribu nerves za kwenye kichwa hayo makitu ni hatari sana mimi imenitesa sana hiyo najutaga kutumia
Kwanini unajutia? HahahUtakuwa ulipaka jingi sana na hiyo ganzi inaweza haribu nerves za kwenye kichwa hayo makitu ni hatari sana mimi imenitesa sana hiyo najutaga kutumia
Kwamba ilikuwa imesimama tu muda wote ama?Waungwana naomba msaada wenu.
Nimeweka vumbi la Congo ili niweze kusugua kwa muda mrefu lakini ni siku ya tatu ganzi haijaisha na sijafika mshindo.
Je, niweke dawa gani ili niondoe hii ganzi na na kichwa cha uume kirudi kuwa normal.