Murano JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 2,056 Reaction score 1,129 Nov 3, 2014 #1 habari zenu wakuu.. kama headline inavyosema nataka niweke game ya ps kwenye flash disk je inawezekana ikaplay kama navyocheza na cd? na file liwe kwenye format gani? ni steps zipi nifate msaada kwa utaalamu huo.. shukran sana.
habari zenu wakuu.. kama headline inavyosema nataka niweke game ya ps kwenye flash disk je inawezekana ikaplay kama navyocheza na cd? na file liwe kwenye format gani? ni steps zipi nifate msaada kwa utaalamu huo.. shukran sana.