JipuKubwa JF-Expert Member Joined Jun 1, 2013 Posts 2,342 Reaction score 2,390 Jun 5, 2015 #1 Habari ndugu zangu, naomba msaada wa kujua gharama za kugongewa visa na wakili ni shilingi ngapi na wapi naweza pata huo msaada.
Habari ndugu zangu, naomba msaada wa kujua gharama za kugongewa visa na wakili ni shilingi ngapi na wapi naweza pata huo msaada.
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,792 Jun 5, 2015 #2 masha kidunda said: Habari ndugu zangu, naomba msaada wa kujua gharama za kugongewa visa na wakili ni shilingi ngapi na wapi naweza pata huo msaada. Click to expand... Kwani uliambiwa ni wakili anagonga?
masha kidunda said: Habari ndugu zangu, naomba msaada wa kujua gharama za kugongewa visa na wakili ni shilingi ngapi na wapi naweza pata huo msaada. Click to expand... Kwani uliambiwa ni wakili anagonga?
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 56,858 Reaction score 46,381 Jun 5, 2015 #3 masha kidunda said: Habari ndugu zangu, naomba msaada wa kujua gharama za kugongewa visa na wakili ni shilingi ngapi na wapi naweza pata huo msaada. Click to expand... Mkuu hebu fafanua vizuri muhuri wa visa una maanisha nini?
masha kidunda said: Habari ndugu zangu, naomba msaada wa kujua gharama za kugongewa visa na wakili ni shilingi ngapi na wapi naweza pata huo msaada. Click to expand... Mkuu hebu fafanua vizuri muhuri wa visa una maanisha nini?
N nyanja255 Senior Member Joined Mar 14, 2014 Posts 103 Reaction score 59 Jun 5, 2015 #4 Duh wakili agonge visa??? Visa inatolewa ubalozin, but inategemeana na nchi zingine unaenda na passport yako wanakugongea entry!!!
Duh wakili agonge visa??? Visa inatolewa ubalozin, but inategemeana na nchi zingine unaenda na passport yako wanakugongea entry!!!
nchelegwanzingi JF-Expert Member Joined May 19, 2013 Posts 468 Reaction score 277 Jun 5, 2015 #5 Chenga tupu hapa sioni chochote
Utotole JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,608 Reaction score 4,265 Jun 5, 2015 #6 masha kidunda said: Habari ndugu zangu, naomba msaada wa kujua gharama za kugongewa visa na wakili ni shilingi ngapi na wapi naweza pata huo msaada. Click to expand... Visa unagongewa na wakili? wakili gani huyo mwenye mamlaka ya kufanya hivyo? kazi hiyo hata mwanasheria mkuu wa serikali au jaji mkuu nadhani hawezi. kwani ni viza ya nchi gani hiyo unayotaka?
masha kidunda said: Habari ndugu zangu, naomba msaada wa kujua gharama za kugongewa visa na wakili ni shilingi ngapi na wapi naweza pata huo msaada. Click to expand... Visa unagongewa na wakili? wakili gani huyo mwenye mamlaka ya kufanya hivyo? kazi hiyo hata mwanasheria mkuu wa serikali au jaji mkuu nadhani hawezi. kwani ni viza ya nchi gani hiyo unayotaka?
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 56,858 Reaction score 46,381 Jun 5, 2015 #7 Visa unagongewa kwenye ubalozi wa nchi unayotaka kwenda baada ya kutimiza vigezo vya kupata hiyo visa.
Visa unagongewa kwenye ubalozi wa nchi unayotaka kwenda baada ya kutimiza vigezo vya kupata hiyo visa.
Woga tupa kulee JF-Expert Member Joined Sep 4, 2012 Posts 1,749 Reaction score 1,312 Jun 6, 2015 #8 Hili hapa si mahala pake
Wa Igima JF-Expert Member Joined Jun 27, 2014 Posts 376 Reaction score 110 Jun 7, 2015 #9 Hiyo Itakuwa Visa Ya Kwenda Somalia