Msaada wa kupata u torrent downloader

Msaada wa kupata u torrent downloader

dizzle1

Member
Joined
Jan 16, 2011
Posts
85
Reaction score
9
Wana jamvi naomba msaada wa kupata u torrent downloader iliyokuwa hacked.napata tabu sana napota ku download movie series kwa idm napata vipande tu vya 5minutes.
 
u torrent downloader ndio nini? unapata vipande vipande ni kwa sababu hizo site unazokwenda wewe zimewekwa vipande. lakini si kila wakati IDM itakupa vipande. angalia kuna website zimewekwa humu zinatoa series vyema tu.
 
na utorrent downloader ni nyingi tu zipo free online..just google mkuu..
 
Web site gani mkuu naomba msaada kama ntapata hizo series especially za slave hunters
 
google mkuu hiyo utorrent then download hiyo setup yake and install... kuhusu websites zipo nyingi kwa ajili ya ku-download hizo torrents files mfano kuna thepiratebay.se, kat.ph na nyingine nyingi
 
ii hapa jinsi ya kui hack idm idownload file la torrent .......
Kwanza unadownload file la torrent kama kawaida

Pili unaingia GOOGLE unasachi ZBIGZ kisha unaselekt link ya kwanza

Tatu ikifunguka iyo ZBIGZ kuna sehemu pale juu pameandikwa UPLOAD FILE unabonyeza pale kisha unachagua file lako la torrent uliloli download... Ukisha liapload [aichukui ata sekunde moja] unabonyeza GO ipo mbele palepale juu

Nne ukibonyeza GO itakuja sehemu mbili ya FREE na PREMIU.. Peleka mauc pointer yako kwenye free kisha bonye pale

Tano ukibonyeza itakuletea kwamba lina KECH FILE FROM TORRENT unasubili limalize ikimaliza ku kechi kwa mbele yake utaona wameandika ZIP bonyeza pale kisha subir ikimaliza itakuja IDM na kuanza kudownload ,iache idownload kidogo kisha ikate then futa file lako katika ZBIGZ kisha ifunge..

Mwisho ludi kwenye program yako ya IDM ifungue na kisha RESUME file lako liendellee kudownload...

Hope uta enjoy frendz....u torrent ipo slow xana rafik jaribu iyo njia kija njulishe
 
Mkuu sijakupata hapo embu naomba unieleweshe kidogo......na download file gani maana torrent inakuja kama search engine.....file la torrent ndio lipi?
 
wakuu muanzisha mada anataka u torrent downloader. lakini hata mimi sijamuelewa ndio nini hiyo
 
  1. Nenda utorrent.com download utorrent, hii ni torrent client ya bure, kwepa extra downloads hazina mpango.
  2. Install utorrent kama unvyoinstall program nyingine yoyote.
  3. Nenda thepiratebay.se search kitu unachotaka.
  4. Epuka kubonyeza mabango ya ngono! Concentrate!
  5. Ikileta majibu chagua unayotaka wewe, hapa unatumia akili yako angalia zenye seeders (SE) wengi na zenye comments nzuri usidownload feki.
  6. Click kialama cha sumaku
    jKLBS.gif
    kwenye thepiratebay, browser itakuuliza kama unataka kulaunch utorrent, kubali, utorrent itaanza kudownload hilo file.
  7. Spidi inategemea vitu vingi sana, so usishangae ikiwa slow.
 
THANX SNA Mh Kang ngoja nikomae na hii kitu.
 
asingeelewa hapa lazima ungemtafutia ile tutorial ya torrent waliofundisha humu siku za nyuma..
 
Wana jamvi naomba msaada wa kupata u torrent downloader iliyokuwa hacked.napata tabu sana napota ku download movie series kwa idm napata vipande tu vya 5minutes.

MKuu unamaanisha utorrent ama utorrent downloader?

na utorrent downloader ni nyingi tu zipo free online..just google mkuu..

hata akiingia utorrent.com anapata .exe setup file

Web site gani mkuu naomba msaada kama ntapata hizo series especially za slave hunters

kudowload torrent files, kuna website nyingi, kwa mfano isohunt.com, kat.ph, extratorrents.com, na kadha wa kadha, tafuta hata kupitia google utazipata. Goodluck!
 
Back
Top Bottom