Msaada wa kupata Tamthiliya ya La Revenge

Msaada wa kupata Tamthiliya ya La Revenge

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,437
Reaction score
46,187
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,nina shida sana na hii Tamthiliya ya La Revenge iliyotikisa Bongo miaka kadhaa iliyopita,mwenye nayo au kujua jinsi ya kuipakua aniambie.
 
mjomba si kanunue CD tu bana, au unataka za kudownload!
 
mjomba si kanunue CD tu bana, au unataka za kudownload!

Kama ningepata za kudownload ingekuwa poa zaidi cause hizi CD unaweza kununua mwishoni ukakosa part fulani so inakuwa haina maana.
 
Back
Top Bottom