Ndio ilifungwa kwa iman ya dini ya kiislam na dada alibadir dini na kuwa muislam,asante sana tutamshauri afanye hivyoMwambie dada alipeleke tatizo lake Bakwata,ni bora zaidi kuanzia huko kwasababu umesema ni ndoa iliyofungwa kwa imani ya dini ya kiislam.
Asante kwa ushauriNdoa ni ngumu na yahitaji uvumilivu yy la misingi aelekee bakwata ndio haki yake itapatikana,ktk imani yake upo mwongozo wa ndoa na ni yapi yanayobatilisha ndoa,kwa kuwa yy(Dada) yamemfika kooni akifikisha malalamiko yake yatapimwa na ikioneka ipo sbb ya kubatilisha ndoa hiyo hapo yatakayofuatwa kwa misingi ya imani yake,akumbuke imani iliyotumika kuunganisha ndoa yake na ndo hiyo itakayotumika kubatilisha ndoa yake,imani yake haiko kwa ajili ya kufurahisha mabadiliko/matakwa ya binadamu INA misingi isiyobadilika na maelekezo sahihi juu ya maisha yake.
aende kwa kadhi wa eneo alipo!aandae na mahari ya kumrudishia mume kiasi kilekile alichopewa yeye mwanamke.
la kuongezea makadhi wengi akishaona hivyo anapata chansi ya kuomba amuoe au amkule hayo mawili ategemee mojawapo
Kumbe unaweza rudisha mahari ile ile aliyopewa na akapewa taraka naona hii njia ni nzuri zaidaende kwa kadhi wa eneo alipo!aandae na mahari ya kumrudishia mume kiasi kilekile alichopewa yeye mwanamke.
la kuongezea makadhi wengi akishaona hivyo anapata chansi ya kuomba amuoe au amkule hayo mawili ategemee mojawapo
Hataki chochote toka kwa huyo mwanaume aliyopitia yanatosha kabisa anachohitaji ni taraka pekee ili awe huru na nafsi yake sababu hana mpango wa kurudi kwa mumewe kabisa sasa anafanya biashara zake tuumiaka miwili na nusu bila kushiriki tendo la ndoa si ni TALAKA tayari? anaweza fanya mambo mengine hata kuolewa...
au unamaanisha unattaka msaada wa kugawana mali? waliyochuma?....