Msaada wa kupata nafasi ya kazi

Coly Haroun

New Member
Aug 13, 2017
1
0
Habari wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 25 elimu yangu ni ya kidato cha sita, natafuta kazi yoyote mathalani kituo cha mafuta (filling station au sheli), ulinzi kwenye kampuni, supermarket, viwandani nk.

Pia nina taaluma ya udereva japo leseni ndogo madaraja A A2 D. Ni mchapakazi, mtaani kugumu.
 
Habari wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 25 elimu yangu ni ya kidato cha sita, natafuta kazi yoyote mathalani kituo cha mafuta(filling station au sheli), ulinzi kwenye kampuni, supermarket, viwandani nk.
Pia nina taaluma ya udereva japo leseni ndogo madaraja A A2 D.
Ni mchapakazi, mtaani kugumu.
Ulishapata?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom