Wanajamvi naombeni ushauri namna ya kupata viroba vitakavyokuwa na nembo yangu kwa ajili ya kupack unga wa sembe. Nimejaribu kuwasiliana na baadhi ya makampuni wanataka minimum oreder ya 2m, na mimi ni mjasiriamali mdogo na ndo naanza biashara
Ushauri: Kwa vile ndio unaanza si vibaya ukajifunza elimu hii,lkn baada ya kuifahamu waachie wenye idara yao waendelee kukuandalia wewe dili na dpatment nyingne,ok...nenda kariakoo sokoni kuna kila aina ya viroba unavyotaka vikiwa plain yani havijaprintiwa chochote,nunua idadi unayotaka ni chpu sana nadhan kwa kimoja hakitakaa kizid 300/=TSHS...baada ya apo tafuta mtu anaeprint kwa screen printing utampatia logo yako atakuprintiwa ktk io mifuko na yeye kwa kila mfuko haizd 600/=TSHS...au pia kupita shotkat toa dili kwa watu mfuko na kuprint haizd 700/=tshs....then endelea na utaratbu mwngne,zaidi kariakoo ioio sokoni kuna mifuko ya kila vibebeo kama mchele, unga e.t.c ya kilo 1,5,10 e.t.c...kila la kheri
pole sana.kwa kawaida ya biashara hii huwa kuna kazi 2 tofauti. moja ni kudizaini kibandiko ambacho kitawekwa ktk kifungashio na pili ni kuhamishia artwork katika mifuko hiyo. ukitaka kupunguza gharama ni km jamaa alivyosema. andaa kibandiko nunua mifuko then peleka kwa printers. huwa nawafanyia wajasiriamali kuandaa vibandiko au artwork tazama mfano huu katika atachement. then waeza nipigia kwa 0655 844 202.
Naomba namba yako kiongoz iliyoko hewanUshauri: Kwa vile ndio unaanza si vibaya ukajifunza elimu hii,lkn baada ya kuifahamu waachie wenye idara yao waendelee kukuandalia wewe dili na dpatment nyingne,ok...nenda kariakoo sokoni kuna kila aina ya viroba unavyotaka vikiwa plain yani havijaprintiwa chochote,nunua idadi unayotaka ni chpu sana nadhan kwa kimoja hakitakaa kizid 300/=TSHS...baada ya apo tafuta mtu anaeprint kwa screen printing utampatia logo yako atakuprintiwa ktk io mifuko na yeye kwa kila mfuko haizd 600/=TSHS...au pia kupita shotkat toa dili kwa watu mfuko na kuprint haizd 700/=tshs....then endelea na utaratbu mwngne,zaidi kariakoo ioio sokoni kuna mifuko ya kila vibebeo kama mchele, unga e.t.c ya kilo 1,5,10 e.t.c...kila la kheri