TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,834
Wakuu salama..
Bila kupoteza mda kijana wenu na matatizo makubwa sio kwamba naumwa no niko mzima Wa afya.
Tatizo nalopitia ni kufanya mambo yanakwama kila napojitahidi nakwama kama kijana ambaye na ndoto nyingi hii hali inanitatiza na kunifanya nijihisi mnyonge.
Binafsi nimejaribu washirikisha watu tofauti juu ya hili na wakanipa njia za kupita ila kabla ya kupita huko nimeona kwanza nipige goti kwa muumba.
Naomba msaada wa mtu anayejua mchungaji anaye ombea watu wenye matatizo mbalimbali ili niondokane na kifungo hiki...
NB:nipo Dar es salaam mwenye msaada naomba ni PM.