Msaada wa kupata kazi

wadzelino

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
205
316
Husika na kichwa cha Habari hapo juu.

Mimi ni Mwalimu wa masomo ya Literature na History, nina uzoefu wa kufundisha masomo hayo kwa miaka miwili hivi. Naomba mwenye connection ya kazi anisaidie.

Pia nina Uzoefu wa kufundisha English Medium schools kwa muda sasa, masomo ya English, Vocational Skills, Social studies, Civic & Moral na Kiswahili (Madarasa yote) na Mathematics kwa darasa la tano, naomba mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie.

Kwa sasa napatikana Dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom