Msaada wa kupata kazi yakufundisha mathematics

Msaada wa kupata kazi yakufundisha mathematics

Manala An Academician

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
119
Reaction score
57
Habari za humu wapendwa, kuna ndugu yangu anatafuta kazi yakufundisha somo la mathematics secondary/primary yeye ni graduate wa bachelor of science in mathematics kutoka university of dodoma mwaka 2015; ni mzuri sana wa mathematics na physics kwani A-level alisoma PCM. Tunaomba msaada kwayeyote mwenye kumsaidia awasiliane nami kwa 0673426517/0757930779.
 
Angekuwa mwalimu kashaajiriwa....sambaza cv shule za private atapata mkuu
 
Back
Top Bottom