MBAANGASIMON
New Member
- Jun 5, 2017
- 4
- 4
Ujataja chuo tutakusaidiaje mkuu uko chuo gani?Wadau kwa wale waliochaguliwa kujiunga na VYUO vya ualimu siku kadhaa zilizopita kama kuna mtu ameshadownload au anaejua jinsi ya kupata join instructions ya chuo anisaidie.
Kwa maelezo kutoka chuoni wapeniambia niingie kwenye website ya chuo au Nacte lkn nimeshondwa kabisa.
Please mwenye uelewa anisaidie
Chuo cha Ualimu Shinyanga, msaada tafadhaliUjataja chuo tutakusaidiaje mkuu uko chuo gani?
Sawa mkuu ngoja nikuchekieChuo cha Ualimu Shinyanga, msaada tafadhali
Natanguliza shukrani kiongoziSawa mkuu ngoja nikuchekie
Mfumo wa joining instructions umekuwa mgumu sana kupata kila ukiwatumia email nacte hawajibu tunateseka kweli kuna baadhi ya vyuo zinapatikana kirahisi sana kma bunda patandi
Kuna vyuo vimetoa kwenye websites zaokama joining ziko teyari utazipata kupitia www.moe.go.tz
Naona zimechelewa wakati vyuo vinafunguliwa wiki ijayokama joining ziko teyari utazipata kupitia www.moe.go.tz
Naona zimechelewa wakati vyuo vinafunguliwa wiki ijayo
Naona zimechelewa wakati vyuo vinafunguliwa wiki ijayo
Nimewasiliana nao wanasema tudownload kwenye website ya wizara, lakini kila nikiangalia huko hamna kitulazima chuo kitakujulisha kwamba joining zipo teyar
Nimewasiliana nao wanasema tudownload kwenye website ya wizara, lakini kila nikiangalia huko hamna kitu
Hamna kitu, ngoja tusubirinenda huku www.moe.go.tz
Hamna kitu, ngoja tusubiri
Umechaguliwa Chuo ganipoah
leo nimepigiwa cm na chuo nilicho chaguliwa wameniambia joining bado ndo zpo kwenye mchakato