ugali dagaa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 1,277 Reaction score 1,121 Mar 1, 2016 #1 nina nyumba nimejenga maeneo ya kivule bado finishing dogo ndogo nimeishiwa hela namtafuta mtu ama taasisi niweze kupata hati ya umiliki kisha nichukue mkopo benki au niiuze ambapo baada ya hapo tutalipana kwa makubaliano unaweza nicheki pm
nina nyumba nimejenga maeneo ya kivule bado finishing dogo ndogo nimeishiwa hela namtafuta mtu ama taasisi niweze kupata hati ya umiliki kisha nichukue mkopo benki au niiuze ambapo baada ya hapo tutalipana kwa makubaliano unaweza nicheki pm