ni solid carbon dioxied (CO2) kama unataka ya chap chap basi pulizia contents za fire extinguisher ndani ya kimfuko kigumu (mfuko usiwe wa karatasi, pia hakikisha umevaa goggles na gloves for protection) then voilaaa dry ice. Ila kama unataka nyingi nasikia kuna kampuni inaitwa 'The Canadian Dry Ice Company Ltd' hapo lindi street dsm.