Msaada wa kupata drivers za PDF creator

FAJES

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
723
Reaction score
658
Wadau heshima kwenu...

Nimejaribu ku-google hizi drivers za PDF ila sijafanikiwa kuzipata. Mwenye nazo naomba msaada anipatie ili niweze kufanya conversion ya MS word to PDF.

Nitashukuru kwa msaada.

FAJES.
 
Mkuu, nakushukuru sana. Nimedownload na kufanya installation ila sijaona shortcut yake kwenye desktop yangu ili niweze kufanya conversion ya MS word to PDF. Naomba msaada zaidi namna inavyofanya kazi. Samahani kwa usumbufu.
 
Fungua doc unayotaka then nenda save as kwenye box pale chini palipoandikwa save as type chagua pdf utaiona then save
 
Mkuu, nakushukuru sana. Nimedownload na kufanya installation ila sijaona shortcut yake kwenye desktop yangu ili niweze kufanya conversion ya MS word to PDF. Naomba msaada zaidi namna inavyofanya kazi. Samahani kwa usumbufu.
Wewe nenda kwenye documebt yako nenda save as.... Itakuja save as pdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…