MSAADA WA KUPATA COMPRESSOR.

MSAADA WA KUPATA COMPRESSOR.

Heron

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,806
Habari wa Wakuu,
Wapi naweza kupata Compressor za Atlas Kopico za upepo.
Mtanisahihisha kwani sizifahamu vizuri,
Ambayo pia inaweza kutumia digger (ya kuchimbia)
 
nenda kwenye branch yao, unatokea tazara unaelekea vingunguti ipo kulia hapa karib na kituo cha Pepsi, Atlas Copco
 
Habari wa Wakuu,
Wapi naweza kupata Compressor za Atlas Kopico za upepo.
Mtanisahihisha kwani sizifahamu vizuri,
Ambayo pia inaweza kutumia digger (ya kuchimbia)
Kwani wewe uko wapi?
 
Back
Top Bottom