Msaada wa kupata App ya Biblia Takatifu

Musundi

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
1,583
2,600
Naomba msaada wa kupata app ya Biblia Takatifu yenye vitabu vya Deuterokanoni. Iwe katika lugha ya Kiswahili. Nimeingia Play Store hakuna.

Asanteni.
 
Hujaelewa sifa ya hiyo Biblia ninayoitafuta. Rudi usome tena ndugu.
 
Any update ikifanyika kwa play store bible kuna vifungu vinabadilishwa ili kuleta maudhui hasi.

My take:

Vyema kuwa na bible ndogo na kusoma na pia ipo na ulinzi zaidi .



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom