Dada yangu ana flash yake, aina ya sony 2GB. Akitaka kusave fike kwenye flash anaambiwa flash imewekewa write protection labda aondoe hiyo write protection. Ila ana mafile yapo kwenye flash anaweza kuyafungua lakini hawezi kuyafuta. Je, inawezekana kuondoa hiyo write protection? Na kama uwezeko upo naomba kueleweshwa tafadhali nawasilisha!!