Sasa si utumie kmspico kuactivate Windows ykoHabari ya Jumamosi wana JF.
Miezi miwili iliyopita nilinunua Desktop kwenye duka linaloitwa Alasco Computers lililopo mtaa wa Uhuru Kariakoo. Ndani ya PC waliweka window 8 ambayo ilikuwa ya trial, sasa siku wiki mbili zilizopita imeanza kudai activation. Sasa ninampango kuondoa hii window niweke nyingine lakini kila nikitaka kuingia kwenye boot menu inadai password. Nilivyonunua sikupewa Password yoyote na Mawasiliano ya dukani nimepoteza na nipo mkoani. sasa inaniwia vigumu kubadili hii Windo iliyoisha muda wake.
Naomba kwa yeyote anayeweza kunielekeza jinsi ya kuondoa hii password ili niweze kubadilisha hii window.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Asante MkuuHujambo mjukuu wangu??
Pitia mjadala huu kuondoa hilo tatizo linalokusumbua
Windows 8 Permanent Activation
Asante
Babu Kifimbo Cheza
Mkuu nimejaribu hiyo program inaleta meseji ifuatayoHujambo mjukuu wangu??
Pitia mjadala huu kuondoa hilo tatizo linalokusumbua
Windows 8 Permanent Activation
Asante
Babu Kifimbo Cheza
Pitia maelekezo ya kwenye link niliyo kutumia Mjukuu wanguHapo sijui naendeleaje??
Ukitaka kutoa Bios password fungua ndani hiyo desktop, sehemu ambapo ipo battery ndogo kuna jumper ya kijani, itoe hiyo jumper na kisha washa computer, ikiwaka ita clear password baada ya hapo unaweza irudisha hiyo jumper.Hapo sijui naendeleaje??
Asante mkuu, nitafanya hivyo.Ukitaka kutoa Bios password fungua ndani hiyo desktop, sehemu ambapo ipo battery ndogo kuna jumper ya kijani, itoe hiyo jumper na kisha washa computer, ikiwaka ita clear password baada ya hapo unaweza irudisha hiyo jumper.