Msaada wa kuondoa "gandcrab" virus.

OL5

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
319
500
Habarini wakuu, Mimi nimekumbwa na dhahama ya huyo mdudu Ni wiki mbili sasa zimepita. Nimejaribu kurestore PC ILA hakuna nafuu yoyote, Natumia Windows 10(64bit) na built in antivirus(ambayo naona imeacha fanya kazi baada ya kushambuliwa na huyo virus.

Kwa ufupi video,docs, hazifunguki. Hivyo naomba msaada jinsi ya kufanya niweze kupata data zangu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom