Msaada wa Haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Haraka

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kichakoro, Mar 24, 2009.

 1. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2009
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,559
  Likes Received: 1,325
  Trophy Points: 280
  Mkuu Invisible na wataalam wengine wa IT

  Nimekuwa napigana vita na PC yangu kwa muda sasa na nataka kuweka security kubwa zaidi maana nimechoka na attacks za kila mara.

  Mwanzoni nilikua natumia Norton ikaisha nikaweka AVG ingawa zilikua zinacoexist. Then Nikapata tatizo so kulitatua ilitakiwa niondoe norton baada ya battle ndefu la kuondoa Semantic Antivirus sasa nimefanikiwa. Bado tatizo limeendelea sasa nimenunua Anti virus Mpya na ni lazima niondoe AVG lakini imekataaa katu katu inanipa this msg Installer initialization failed due to following error:
  naombeni msaada jinsi ya kuondoa hii kitu
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 24, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Fanya sestem recovery itakayorudisha setting za kiwandani. Ila kabla hujafanya hivyo hakikisha umehifadhi info zako ambazo hutaki kuzipoteza
   
 3. O

  Ogah JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Quite right Mkuu,......niliwah patw ana shida kama hiyo na suluhisho likawa huo ushauri hapo juu....na sasa mambo safi
   
 4. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  weka katika safe mode then delete installation folder ya hiyo AVG.
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  Mar 24, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Unaweza kutafuta programu ambazo ni uinstalleer kama YOUR UNINSTALLER 2008 itakusaidia kuondoa programu yoyote ambayo huitaki au kurekebisha programu zenye matatizo fixing

  Nimeona kuna watu wanasema ufanye systerm recovery lakini ukifanya hivyo system yako itarudi na antivirus ile uliyonunua na pc mwanzo kabisa utatakiwa uifanyie updates za kutosha kabla ya kuiingiza tena katika mtandao na kama ulikuwa na updates za programu mbali mbali zote zitarudi kule kule utatakiwa kupdate upya

  Mchana mwema
   
 6. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2009
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,559
  Likes Received: 1,325
  Trophy Points: 280
  Think pad well done

  Tatizo kwisha. asanteni wadau wote
   
 7. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #7
  Mar 26, 2009
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Tatizo lako halijaisha, kwa kuwa unatumia Windows operating system. Niko tayari kukufundisha kutumia Linux, kuanzia distribution ya Ubuntu. Nipigie kwa +255-786-019019 au +255-715-019119. Utasahau kitu kinachoitwa AntiVirus au AntiSpyware! Trust me!
   
 8. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwanini hiyo shule usiiweke hapa, huoni kuwa utakuwa umemsaidia jamaa na pia kutusaidia na wengine humu. Ni wazo tu Mkuu, nawe ndio mwenye hiari.
   
 9. emanuel.feruzi

  emanuel.feruzi Senior Member

  #9
  Jul 18, 2009
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mfumwa, kama unaweza niambia nini inataka ujua naweza kukusaidia. Nimefanya kazi na distribution zifuatazao Fedora, Mandrake (Mandriva), RedHat, openSuSE, Debian and Ubuntu. Nimetumia CentOS lakini kama XEN Server. Nitumie email: emanual.feruzi@trilabs.co.tz
   
 10. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu acha kutubania weka mambo yote hapa.
   
Loading...