unamaanisha hiyo background nyeupe?
Una bahati umenikuta nimefungua photoshop leo, hii ni kazi ya sekunde tano tu,
haya image yako hiyo hapo, iko in png format, tumia popote pale utaona haina background, ila usitumie kama unaforge document.