Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,391
Poa mkuu nashukuru kwa msaada wakos6 ni nzuri kwa budget hio, ila kama hujali muonekano wa nje by far s6 active ni simu bora zaidi.
pia kama unajali sana battery life angalia A series za mwaka 2017 simu kama A5 2017. na pia J series za 2017 simu kama j7 ya 2017.
Sasa chief kuna mtu alinishaurii nichukua A7 ya mwaka 2016 unaionaje hiis6 ni nzuri kwa budget hio, ila kama hujali muonekano wa nje by far s6 active ni simu bora zaidi.
pia kama unajali sana battery life angalia A series za mwaka 2017 simu kama A5 2017. na pia J series za 2017 simu kama j7 ya 2017.
Aaah hapana aiseee wakikuita mchochezi watakua wamekuonea.Tanzania, ni kosa la jinai kusema ukweli. Bila shaka ungekua na mamlaka, ungeniita mchochezi
Mkuu hapo ni ikiwa na cover lake? au ndivyo simu ilivyo yenyewe.s6 ni nzuri kwa budget hio, ila kama hujali muonekano wa nje by far s6 active ni simu bora zaidi.
pia kama unajali sana battery life angalia A series za mwaka 2017 simu kama A5 2017. na pia J series za 2017 simu kama j7 ya 2017.
Hakuna namna mkuu, we endelea kupambana na sim zetu zile za line nne, memory card, bluetooth,camera, FM radio na torch kwa sh 32'000/-Wanaume wa Dar buana!!.....Sasa laki tano mbona ni mtaji kabisa??!![emoji32][emoji32][emoji32]
ndo yenyewe ilivyo, ukiona simu ya samsung ina neno active kwa mbele inamaana ni rugged, hizo huweki cover, haziingii maji, ni shock proof, dust proof etc ni simu ngumu sana,
sio mbaya mkuu, imepitwa na kina s6 kwenye ubora wa kioo, nguvu ya simu ila yenyewe inakaa zaidi na chaji na pia si rahisi kupata moto sana.Sasa chief kuna mtu alinishaurii nichukua A7 ya mwaka 2016 unaionaje hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukranindo yenyewe ilivyo, ukiona simu ya samsung ina neno active kwa mbele inamaana ni rugged, hizo huweki cover, haziingii maji, ni shock proof, dust proof etc ni simu ngumu sana,
Sawa sawa!Hakuna namna mkuu, we endelea kupambana na sim zetu zile za line nne, memory card, bluetooth,camera, FM radio na torch kwa sh 32'000/-
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante chief kwa msaada wako nadhani nitaichukua hiyo j7 2017 si iko poa hiyoosio mbaya mkuu, imepitwa na kina s6 kwenye ubora wa kioo, nguvu ya simu ila yenyewe inakaa zaidi na chaji na pia si rahisi kupata moto sana.
ila nakushauri tafuta za 2017 kwanza ukikosa ndio uhangaike na 2016 sababu za 2017 wame improve kila kitu.
Mkuu hiv samsang note 4 ina fingeprints? Maana niliwaza kuchukua hiyo simu lakini niliona kama ni ya kizamani hebu nijuze kidogo mkuu kuhusu note 4Kama unapenda kioo kikubwa na pen pia fingerprints scanner chkua samsung note 4 utapata kwa iyo bei ipo vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
yap ipo poa na battery life moja nzuri sanaAsante chief kwa msaada wako nadhani nitaichukua hiyo j7 2017 si iko poa hiyoo
Sent using Jamii Forums mobile app