Wakuu msaada wenu Juu ya app ya music powerap nimekuwa nikitumia lakini ina isha baada ya wiki 2 sasa nimeipenda sana lakini sijawahi kununua wala Sina acount ya PayPal zaidi ya Tigo airtel pesa
Ya nini ununue kitu ambacho kinaweza kupatikana bure mtandaoni, Mkuu hio app imeshachakachuliwa na unaweza kuitumia bila hata kulipia...ingiea google search