Nina sh 6000000 nataka kununua gari ni gari gani nzuri kwa maana ya ulaji wa mafuta, inayoweza kustahimili maeneo mbalimbali ya tanzania naomba ushauri wenu wana jf sio muanze kunitukana maana siku hizjf mmm!
Mkuu ingekuwa rahisi kama ulivyoandika hapa kila mtu hapa mjini angesukuma ndinga. Aliyekuambia mtumishi wa serikali halipi ushuru ni nani?
Chukua starlet mzee. Sababu za msingi 1. It can accomodate your cash 2. Durable 3. Economy 4. Easy to run. Kwa pesa uliyonayo utapata starlet mpya I.e used japanese, ukiforce kununua gari kubwa zaidi utajikuta unachukua gari used tanzanian. Na ukishanunua tu gari kwa mtu I.e wa hapa tz, ujue utakua best frend wa mafundi wote. Huo ni ushauri wangu tuu kk
Siyo Funcargo
Inaitwa Gurumo
päiva;8214164 said:Bora umesema wewe, kila nikisoma anavyosisitiza eti mtumishi wa serikali halipi ushuru nabaki kuguna tu.
Mmh mtumishi wa serikal halip ushuru? Mkuu hebu toa ufafanuz zaid
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wewe huijui Tanzania inavyoendeshwa, unadanganywa na nani kuwa mtumishi wa serikali halipi kodi?Kama huyo ni mfanyakazi wa serikalini hiyo hela ni nyingio sana kwani atapata kitu swafi kwa bei nafuu
Nissan xtrail ya 2004 unapata kwa £1,200 na freight ni £800 jumla ni £2000 sawa na 5m zilizobaki analipia port charges gari iko nje ,
MTUMISHI WA SERIKALI HALIPI USHURU
Bei gani na ina sifa zipi?Ndioooooo
Kama huyo ni mfanyakazi wa serikalini hiyo hela ni nyingio sana kwani atapata kitu swafi kwa bei nafuu
Nissan xtrail ya 2004 unapata kwa £1,200 na freight ni £800 jumla ni £2000 sawa na 5m zilizobaki analipia port charges gari iko nje ,
MTUMISHI WA SERIKALI HALIPI USHURU
Njo nikuuzie corona premio INA speed 260 ,haili mafuta ,kwa mwendo kiboko ,mm nicngeuza lkn nahiyaji kununua Prado kwa ajili ya familia