kama unataka camera ya kufanya professional photography, tafutana na a
single lens reflex camera (SLR). SLR cameras hutumia kioo (yes kioo)
ili uone picha directly inavyotoka kwa lens na sio view finder (kile kipart cha kuchungulia) so picha unavyo iona ndivo inatoka. pia SLR cameras huwa na a less shutter lag (yaani unavyo click ndivyo inapiga tofauti na camera za kaaida zina take seconds to respond). every serious photographer duniani anatumia an SLR camerana maendeleo ya dunia, kuna digital SLRs, au DSLR. zipo chache duniani as kampuni nyingi hazitengenezi ila ukitafuta utapata ya sony, canon, nikon au samsung.bei sasa.. sijui kwa sasa utapata kwa shilingi ngapi coz na siku nyingi sijacheck madukani ila from personal experience, be ready to cough up some mulla :bigggrin:nina Sony ¦Á 100 ambayo nilinunua kutoka kwa machalii hapa atown for kama laki nne ila sio kali kama sony NEX-7 ambayo niliachiwa na mzungu mmoja last year for about 700$nilishaulizia hiyo Sony ¦Á 100 kwa duka la benson (biggest technology related goods shop in arusha) na alitaka 1m for one so ndo hivo kuhusu prices. lakini kama nilivosema before, kama unachukulia photography seriously na sio a past time hobby, lazima uwe na an SLR. utajua ni SLR camera or not kwa lens ilivyo. hebu nitafute picha ni upload uone zilivo, probably utakuwa umeziona around
kama unavyo ona kwenye hio picha, hio lens yake inatolewa na kubadilishwa na lens nyingine na utakuta some photographers call them interchangeable lens camera ila sio jina lake halisi. kama utaonelea utafute a DSLR, itakubidi ujifunze kiasi kuhusu exposure, white balance, focus na vingineo lakini mwisho wa siku it'll be worth itgood luck
leh