Msaada wa kumuadabisha mwizi!

rasmanyara

Senior Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
197
Reaction score
18
Mambo vipi wandugu.
Kuna wezi wamevunja duka na kuniibia vi2 ikiwa ni pamoja na pesa nyingi.
Mwenye kumjua MGANGA mzuri naomba anipe mawasiliano nae anisaidie pls. Pesa na mali nazitaji zirudi kwa kupewa adhabu m2 huyo
 
mh!pole sana
ila muachie mungu coz
kwa waganga unaweza kuliwa
hela zaidi!

 
wengine tulipoteza wazazi kwa kupitia mikono ya wezi hao hao.
tulimwachia Mungu na akawaadabisha wale wezi kwa wakati wake.
 
Kama uko jirani na boma la wamasai maeneo yako nenda kwa mzee wa okoo peleka ombi lako la kuvunja chungu ktk eneo husika na hatua iyo itafanyika kwa mila za kimasai chini ya uhalali wa sheria za kimila zinazotambulika na serikali na utapewa kibali cha kubandika matangazo eneo husika na baada ya siku 21 chungu pori kinavunjwa na wazee wa kimasai alafu mwizi husika atajulikana ndani ya siku 3.
NB: zoezi hili linatambulika kisheria na kuna baraza la wazee wa chungu wanatambulika kihalali na serikali.
Vyungu husika huagizwa kutoka upareni huko same, andaa pesa ya chungu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…