oh!pole sana kuna mtu namfahamu anaitwa Chriss Mauki nadhani atakusaidia sana Google hlo jina nadhani utapata contact zake ama mtafute m2 anaitwa Samwel Sasali facebook atakusaidia jinsi ya kumpata Mauki he is very good a professional psychologist alimsaidia sana rafki angu n nw she z' nice.
Habari wapendwa,natafuta mtu wa ushauri nasaha aliyebobea katika kushauri masuala ya ndoa,nina tatizo katika ndoa yangu nahitaji msaada.asanteni
Huyu Jamaa ni mzuri sana...
Licha ya kuwa mwanasaikolojia ni mtumishi wa Mungu pia katika huduma ya
DPC..
Nafuatilia namba yake, nikiipata nitaiambatanisha apa. Account yake ya
https://www.facebook.com/chris.mauki‎
Asante sana, hata mimi nilikua namjua Chriss Mauki kupitia radio na Tv nimejaribu kutafuta contact zake kwa sasali kaniambia hayupo nchini mpaka mwezi wa nne mwishoni au wa tano mwanzonioh!pole sana kuna mtu namfahamu anaitwa Chriss Mauki nadhani atakusaidia sana Google hlo jina nadhani utapata contact zake ama mtafute m2 anaitwa Samwel Sasali facebook atakusaidia jinsi ya kumpata Mauki he is very good a professional psychologist alimsaidia sana rafki angu n nw she z' nice.
Kwa habari nilizonazo kutoka kwa sasali Chris Mauki Hayupo nchini mpaka mwezi wa nne au tano mwanzoniyeah!kumbe unamfahamu eh!ngoja nijaribu kumcheck Sasal kama anaweza nipatia namba ntazitoa jamvini hapa.
Asantechris mauki
Nitawasiliana na wewe.AsanteWasiliana nami kwa email joeshaluwa@gmail.com au njoo ofisini Jumapili ijayo, saa 7.00 mchana, ulizia Shaluwa.
Habari wapendwa,natafuta mtu wa ushauri nasaha aliyebobea katika kushauri masuala ya ndoa,nina tatizo katika ndoa yangu nahitaji msaada.asanteni
Wakati mwingine ushauri wa watu wengi unachanganya hasa mambo ya ndoa,bora mtaalam m1Andika humu jamvini tukushauri unadhani ushauri wa mtu 1 utakusaidia sana?
Andika humu jamvini tukushauri unadhani ushauri wa mtu 1 utakusaidia sana?
Wanasema, "Mbwa hupotezwa na miluzi mingi".. Haimaanishi kuwa ukishauriwa na watu wengi umepata ushauri bora(esp. hasa JF hapa siku hizi kwenye mizaha, matusi, kejeki kwa kila jambo).
Mshauri hasa Mwanasaikolojia ta siku moja hakuelezi ni nini cha kufanya, bali atakueleza ni njia gani unazoweza kuzifata kuhusiana na matatizo! Yaani hukueleza Option,na wewe mwenyewe kufanya maamuzi.
Hudhani kwamba humu MMU kuna washauri waandamizi wa mambo ya saikolojia.
Kwa habari nilizonazo kutoka
kwa sasali Chris Mauki Hayupo nchini mpaka mwezi wa nne au tano
mwanzoni
Sina uhakika nalo maana sijui members wote, lakini, kama wewe ni mwanasaikolojia/au ulishawahi kumuona mwanasaikolojia utatambua ushauri kutoka kwa mwanasaikolojia ni zaidi ya mawasiliano ya kutokuonana.
Yaani, kile usemacho, unachokionyesha kwa namna mwili wako unavyosema(body language) ni muhimu katika kutoa ushauri.
Pili, masuala ya ndoa, kama mwanasaikolojia huusisha wanandoa, kusikiliza pande zote mbili ili kubaini shida iko wapi, yaani wao kwa wao..na si upande mmoja(ambao utaletwa na mwanandoa mmoja kama ambavyo inaletwa hapa JF)..nikimaanisha kusikiliza upande mmoja tu, hata kama mtu inaonekana anaonenewa/kunyanyaswa kiasi gani haitoshi. Mhusika/mwanandoa mwingine anahitajika.