pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 238
- 271
Ww sema UmetapeliwajeHabari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku...
Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juz jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana nate kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye na kuna number alitumia kunitafuta ambayo iliweza kupatikana hiyo juz na jana ila leo haipatikani, kesi ya huyo mtu iko central police
SWALI JE!
HUYO mtu anaweza kupatikana kwa kupitia hyo namba ya simu kana kwamba juz na jana ilikuwa hewani ila leo haipatikani?
Nimefuatilia police wamesema wako kwenye utaratibu wa kufuatilia hyo number. Na kuna gharama za kutoa kwenye ishu kama hiyo .Swali je?
KUNA ALIYEWAI KUMPATA MTU AMA MTUHUMIWA WAKE KWA KUPITIA NUMBER YA SIMU???
MWENYE experience naomba aweze kunieleza kama alifanikiwa na ilikuwaje?
Gharama ya kumtafuta tena polisi?Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku...
Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juz jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana nate kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye na kuna number alitumia kunitafuta ambayo iliweza kupatikana hiyo juz na jana ila leo haipatikani, kesi ya huyo mtu iko central police
SWALI JE!
HUYO mtu anaweza kupatikana kwa kupitia hyo namba ya simu kana kwamba juz na jana ilikuwa hewani ila leo haipatikani?
Nimefuatilia police wamesema wako kwenye utaratibu wa kufuatilia hyo number. Na kuna gharama za kutoa kwenye ishu kama hiyo .Swali je?
KUNA ALIYEWAI KUMPATA MTU AMA MTUHUMIWA WAKE KWA KUPITIA NUMBER YA SIMU???
MWENYE experience naomba aweze kunieleza kama alifanikiwa na ilikuwaje?
Kumbuka kuna kitambulisho cha taifa kwenye usajilitafuta zingine mkuu hiyo ni ngumu sana kumpata kwa namba isiyopatikana, labda siku moja ukutanenae uso kwa uso.
Hakunaga cha bure, lazma kuna pesa uhonge maana hyo kazi haiendi bila kuhusika kampuni ya mtandao husikaGharama ya kumtafuta tena polisi?
Mkuu,so hio kampuni husika inahitji PESA? Wanataka kiasi gani kwa kuanzia?Maana kama umepoteza 500k watakuongezea na hasara ya 300kHakunaga cha bure, lazma kuna pesa uhonge maana hyo kazi haiendi bila kuhusika kampuni ya mtandao husika
Kwanza nikupe pole sana. Pili kuwa makini sana polis wetu hawa unaweza kutumia garama kubwa kuliko hiyo mwizi asipatikane kabisa.Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku...
Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juz jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana nate kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye na kuna number alitumia kunitafuta ambayo iliweza kupatikana hiyo juz na jana ila leo haipatikani, kesi ya huyo mtu iko central police
SWALI JE!
HUYO mtu anaweza kupatikana kwa kupitia hyo namba ya simu kana kwamba juz na jana ilikuwa hewani ila leo haipatikani?
Nimefuatilia police wamesema wako kwenye utaratibu wa kufuatilia hyo number. Na kuna gharama za kutoa kwenye ishu kama hiyo .Swali je?
KUNA ALIYEWAI KUMPATA MTU AMA MTUHUMIWA WAKE KWA KUPITIA NUMBER YA SIMU???
MWENYE experience naomba aweze kunieleza kama alifanikiwa na ilikuwaje?
Una hakika namba hiyo ilisajiliwa kwa jina lake? Lakini pia, wanaweza (mamlaka husika) kufuatilia kujua before hiyo namba ilikuwa ikiwasiliana na nani, then kutoka hapo itajulikana nani aliwahi kutumia namba iliyohusika kukutapeli wewe.Kumbuka kuna kitambulisho cha taifa kwenye usajili
Polisi wetu uwajui Wewe, Huyo tapeli wanaweza wakampata na wasikuambie kua wamempata wakamkamua pesa na wakamuachia, kila ukifuatilia unaambiwa hajapatikana anafuatiliwa na wameshakukamua pesa hasara juu ya hasaraUna hakika namba hiyo ilisajiliwa kwa jina lake? Lakini pia, wanaweza (mamlaka husika) kufuatilia kujua before hiyo namba ilikuwa ikiwasiliana na nani, then kutoka hapo itajulikana nani aliwahi kutumia namba iliyohusika kukutapeli wewe.
Don't give up! Kumbuka hata ukitumia gharama kubwa, akipatikana mhalifu atazilipa zote.
Usiwasikilize wengine humu, huenda ni walewale matapeli na ndio wanakukatisha tamaa ili kuulinda mtandao wao.
Hata kama namba yake haipatikani kuna uwezekano wa kumkamata. Kitachofanyika ni kutrace IMEI ya simu iliyokuwa inatumika hiyo namba, halafu watacheki hiyo SIMU inatumika kwa namba ipi.Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku.
Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye na kuna number alitumia kunitafuta ambayo iliweza kupatikana hiyo juzi na jana ila leo haipatikani, kesi ya huyo mtu iko central police
SWALI JE.
Huyo mtu anaweza kupatikana kwa kupitia hiyo namba ya simu kana kwamba juzi na jana ilikuwa hewani ila leo haipatikani?
Nimefuatilia Polisi wamesema wako kwenye utaratibu wa kufuatilia hiyo number. Na kuna gharama za kutoa kwenye ishu kama hiyo .
Swali je?
KUNA ALIYEWAI KUMPATA MTU AMA MTUHUMIWA WAKE KWA KUPITIA NUMBER YA SIMU?