msaada wa kulog kwenye outlook kwa web | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kulog kwenye outlook kwa web

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Vakwavwe, Nov 18, 2009.

 1. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2009
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nipo nje ya tz,nataka kulog kwenye outlook ya ofisi inagoma na kunipa message hiyo hapo chini na sijakosea ip kwa kuwa jana niliweza...msaada wandugu  500 - Internal server error.

  There is a problem with the resource you are looking for, and it cannot be displayed.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280

  UNAYO MICROSOFT OFFICE KWENYE COMPUTER YAKO? JARİBU KUWEKA Hİİ
  Manage all your email accounts with ease

  Outlook Connector provides a free solution for managing your Windows Live Hotmail e-mail and contacts from within Outlook. With the new release of the Outlook Connector, you can connect your Windows Live Hotmail account in Microsoft Office Outlook 2007 or Outlook 2003 free of charge. DOWNLOAD HIYO HAPA KISHA UWEKE EMAIL YAKO NA PASSWORD YAKO http://office.microsoft.com/en-us/outlook/HA102225181033.aspx
   
 3. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mie hapa nayaona mambo kama mawili hivi:

  1.Kuna suala la baadhi ya LAN Administrator huwa wanawapa baadhi ya watumiaji wa server zao kutokuwa na uwezo wa kutuma e-mail nje ya outlook system ya mahali pao pa kazi (LAN). Kama ukiwa nyumbani unaweza kutuma kwenye mail server zingine kama yahoo,hotmail,google nk, then jaribu njia hii: Nenda www.mail2web.com then put your username and password kama una access niliyoieleza hapo juu utaweza kupata mail zako za outlook popote duniani.

  2.Option nyingine pale ambapo una access kwenye internet unatakiwa kujua IP ID za service provider wako za out going mail na incoming.

  Kwa uelewa wangu mdogo ni hivyo tu mkuu.
   
Loading...