Hatibumsindo
New Member
- Aug 20, 2020
- 1
- 2
Habari za humu wana jamii nina shida ya kukutana na CHAABA na rafikiye DUDUKE naomba maelezo hasa ni vipi na wapi naweza kukutana nao hao watu?
Mbaya zaidi wao wenyewe Hawajui kma wanatumika,wahindi wamewatumia mpk wamechokaMnawatumia kupiga hela
Hakika kwakuwa kwa sasa hao jamaa content zao zinaingiza pesa Sana Ila wao hawajui Serikali ingetumia akili kuwalinda Kama vivutio vingine na wakawa wanakuwa benefited kupitia watalii wanaokuja kuwaonaMbaya zaidi wao wenyewe Hawajui kma wanatumika,wahindi wamewatumia mpk wamechoka
Tatizo jamaa maisha yao hawaitaji pesaHakika kwakuwa kwa sasa hao jamaa content zao zinaingiza pesa Sana Ila wao hawajui Serikali ingetumia akili kuwalinda Kama vivutio vingine na wakawa wanakuwa benefited kupitia watalii wanaokuja kuwaona
Kata?Write your reply...nenda arusha kisha wilaya karatu tarafa ya Eyasi utawakuta huko ndiko wanakoishi
Nipo hapa mkuuHabari za humu wana jamii nina shida ya kukutana na CHAABA na rafikiye DUDUKE naomba maelezo hasa ni vipi na wapi naweza kukutana nao hao watu?
Lakini wanakula , wanafua , wanaoga , wananyoa wanafanya mambo kibao kwahiyo msiwatumie with no benefits.Tatizo jamaa maisha yao hawaitaji pesa
Arusha-Karatu-EyasiUko mkoa gani na wilaya ipi!?
Tunakulaga tu, hivyo vingine huwa tunafanya kwa dharura tuLakini wanakula , wanafua , wanaoga , wananyoa wanafanya mambo kibao kwahiyo msiwatumie with no benefits.
Hii jamii ipe miaka 10 tu ijayo itakuwa kama wengine maana tuna viongozi wasiokuwa na maono.Kwa namna haya mqmbo yanaenda ni kama tunasahau kuwa tuna wajibu wa kulinda jamii adimu zinazoishi maisha ya kale.
Viongozi wenye dhamana watafakari sana endapo yataibuja madai dhidi ya hila ya kuangamiza asili ya jamii hizi haya mambo hayatasikiliziwa hapa kwetu na yataenda kwa mtu binafsi mwenye dhamana
A humble reminder labda watu wenu wa kutafsiri sheria hamjawazingatia au labda hawajawaambia.
KIla la heri
Nenda ofisi ya mkurugenzi/mkuu wa wilaya ofisi ya Mali asili na utalii utapewa maelekezoArusha-Karatu-Eyasi