Wajepu wajanja sana,
Unadanganyishiwa;
FOB=300
Freight=1,800
Total = 2,100
Wakati Ukweli hapo gari umeuziwa
FOB=1,300
Freight=800
Total =2,100.
Hakunaga Freight ya 1,800 kwa kagari kadogo kama hako. Wanakuwekea bei ndogo ya gari but wanakuja kukugonga kwenye freight wakati wao hawalipi hiyo kwa wenye meli.