edimkali
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 212
- 139
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema,ninamiliki komputer aina ya HP .tatizo nililopata ni aina ya komputer yangu ambayo battery lake lipo ndani ya komputa ,yaani kulitoa mpaka ufungue nati.
So nilivyopata shida ya battery na kulibadilisha battery jipya lilikaa miezi 6 tu then likaanza kusumbua mpaka sasa halikai na chaji.hivyo naomba msaada kwa anayejua dealer wa HP anisaidie ili nipate battery ORIGINAL,batter yenyewe inafanana hivyo na aina ya komputer imeandikwa kwa battery.