Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 683 Reaction score 200 Apr 21, 2017 #1 wadau naomba msaada kama kuna program yeyote inayoweza kukuonyesha simu ulizopigiwa wakati simu iko chaji na umeizima.
wadau naomba msaada kama kuna program yeyote inayoweza kukuonyesha simu ulizopigiwa wakati simu iko chaji na umeizima.
No Escape JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 6,662 Reaction score 7,832 Apr 21, 2017 #2 Na mie nasubiri majibu...
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Apr 21, 2017 #3 Kabelwa said: wadau naomba msaada kama kuna program yeyote inayoweza kukuonyesha simu ulizopigiwa wakati simu iko chaji na umeizima. Click to expand... Hiyo sio App ni huduma (service) kutoka kwa Mtoa Huduma wako. wasiliana na mtoa huduma wako akuelekeze namna ya kujiunga.
Kabelwa said: wadau naomba msaada kama kuna program yeyote inayoweza kukuonyesha simu ulizopigiwa wakati simu iko chaji na umeizima. Click to expand... Hiyo sio App ni huduma (service) kutoka kwa Mtoa Huduma wako. wasiliana na mtoa huduma wako akuelekeze namna ya kujiunga.
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,628 Reaction score 5,259 Apr 22, 2017 #4 Mkuu ymollel said: Hiyo sio App ni huduma (service) kutoka kwa Mtoa Huduma wako. wasiliana na mtoa huduma wako akuelekeze namna ya kujiunga Mkuu nakuona uko Na kitu cha window phone Click to expand...
Mkuu ymollel said: Hiyo sio App ni huduma (service) kutoka kwa Mtoa Huduma wako. wasiliana na mtoa huduma wako akuelekeze namna ya kujiunga Mkuu nakuona uko Na kitu cha window phone Click to expand...
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Apr 22, 2017 #5 Kilangi masanja said: Mkuu Click to expand... Yes yes , ni cha windows phone 8.1 hicho.....
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,628 Reaction score 5,259 Apr 22, 2017 #6 Yap nimeiona hapo nazielewa sana niliuza nikahamia Apple naona majanga ngoja uwp ikamilike kukiwa Na apps za kutosha nitarudi huko
Yap nimeiona hapo nazielewa sana niliuza nikahamia Apple naona majanga ngoja uwp ikamilike kukiwa Na apps za kutosha nitarudi huko
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Apr 22, 2017 #7 Kilangi masanja said: Yap nimeiona hapo nazielewa sana niliuza nikahamia Apple naona majanga ngoja uwp ikamilike kukiwa Na apps za kutosha nitarudi huko Click to expand... kweli sasa hivi kuna uelekeo mbaya wa apps za windows phone. unaweza kutoa App baadaye ukiingia storehuikuti. majanga
Kilangi masanja said: Yap nimeiona hapo nazielewa sana niliuza nikahamia Apple naona majanga ngoja uwp ikamilike kukiwa Na apps za kutosha nitarudi huko Click to expand... kweli sasa hivi kuna uelekeo mbaya wa apps za windows phone. unaweza kutoa App baadaye ukiingia storehuikuti. majanga
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,628 Reaction score 5,259 Apr 22, 2017 #8 Sana tu mi nilitoa Shazam , [HASHTAG]#1tool[/HASHTAG] kit Na zingine sizion