heshima yenu wakuu! Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu wa kujua kituo cha kupigia kura kwa njia ya mtandao, nimesikia maelekezo yakitolewa tbc 2 sikuwaelewa vizuri, hoja yangu ndio hiyo, niko safarini kuelekea arumeru kutimiza haki yangu ya msingi kikatiba. Ni mimi mpiga kura!