msaada wa kujua kampuni zinazokopesha magari

stricker

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
18
Reaction score
1
habari wana JF, mimi ni mwajiriwa katika airline moja hapa tz, naomba msaada wa kuzifahamu kampuni zitakazo weza kunipatia gari wabaki na original card ya gari then tuingie mkataba wa kuwalipa kila mwezi kiasi tutakacho kubaliana mpaka nimalize kiasi kilicho baki.nina milioni tano kama kianzio.
 
nenda kwenye mayard yamejazana kibao mjini hapa, wanakaaga na magari hadi miaka sita hayauziki
 
habari wana JF, mimi ni mwajiriwa katika airline moja hapa tz, naomba msaada wa kuzifahamu kampuni zitakazo weza kunipatia gari wabaki na original card ya gari then tuingie mkataba wa kuwalipa kila mwezi kiasi tutakacho kubaliana mpaka nimalize kiasi kilicho baki.nina milioni tano kama kianzio.

hiyo mil 5 mbona inatosha kupata gari lako kabisa... au unataka kuchukua vogue
 
Back
Top Bottom