S somvi Member Joined Aug 14, 2015 Posts 17 Reaction score 4 May 25, 2017 #1 Habarin wanaforum, kwa mwenye kujua jinsi ya kujiunga na hiyo portal . zip ni criteria muhimu zaid ya jina, email. Na check no?
Habarin wanaforum, kwa mwenye kujua jinsi ya kujiunga na hiyo portal . zip ni criteria muhimu zaid ya jina, email. Na check no?
Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,320 Reaction score 18,595 May 26, 2017 #2 Ingia kwenye web yao utajaza vitu unavyoombwa kujaza, majina,email na cheque number yako