kwetugt
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 273
- 233
Kama nilivyoelezea hapo juu mimi nilihitimu elimu ya kidato cha sita mwaka 2009 nikiwa na chukua PCM.
Bahati mbaya sikubahatika kufaulu vizuri maana nilipata "E" ya mathematics tu mengine nilifeli na kupata div four ya 19 hivyo naombeni msaada wenu.
Maana kukaa na kuajiriwa nimechoka nataka kijiboresha zaidi ikiwezekana hata kutumia matokeo ya form four maana nilifaulu vizuri kwa kupata div III ya point 18 hii ilitokana na kupigwa penalty ya civics japo kiuhalisia ni div II tafadhalini sana naombeni msaada wenu.

Last edited by a moderator: