msaada wa kuji unblock

msaada wa kuji unblock

girlie

Senior Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
170
Reaction score
180
wanasema ukidelete account yako ya whatsapp uka un install ukaja uka install tena unakua automatically unblocked from people who blocked you before. Nimejaribu several times ila bado haikubali,msaada wenu wajuzi.
 
Hakuna njia ya kuji unblock bila kutumia simu za wahusika maana block ina detect ID NO tu
 
wanasema ukidelete account yako ya whatsapp uka un install ukaja uka install tena unakua automatically unblocked from people who blocked you before. Nimejaribu several times ila bado haikubali,msaada wenu wajuzi.
Hiyo njia ilikuwa inafanya kazi zamani kabla hawaja update
Kwa sasa hivi haiwezekani
 
Back
Top Bottom